Loading...
title : MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI
link : MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI
MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI
Mwambawahabari Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwalimu wake, Agrias Sichone ambaye alimfundisha katika Shule ya Sekondari ya Kigonsera mwaka 1977 hadi 1980. Alikuwa katika kikao cha kuhitimisha ziara yake mkoani Songwe kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Sunrise mkoani humo Julai 24, 2017. kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI
yaani makala yote MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/majaliwa-akutana-na-mwalimu-wake-wa.html
0 Response to "MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI"
Post a Comment