Loading...
title : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES
link : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES
Na Abraham Ntambara.
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wasichana ambo ni wanachama wa chama cha Tanzania Girl Guides Association (TGGA) kuzingatia mafunzo wanayopatiwa kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Kauli hiyo aliitoa leo jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa kijiti cha kuwa mlezi wa chama hicho kutoka kwa Mama Salma Kikwete anayesitaafu nafasi hiyo aliyoihudumu kwa zaidi ya miaka 12.
“Niwatake tu watoto wangu kutochukulia kwa mzaha mafunzo mnayopatiwa kwani ni tija kwa maendeleo ya Taifa,” alisema Makamu wa Rais.
Aidha aliwaahidi wanachama kutowaangusha katika kutekeleza majukumu ya kukilea chama hicho ambapo alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kuweza kukiongoza vizuri kwa mafanikio makubwa licha ya kuwa na majukumu mengine.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi
Salma Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Kamishna wa TGGA
Samia akiangalia kazi mbalimbali zinazofanywa na Girl Guides
Mama salma akimkabidhi Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mpango mkakati wa TGGA
Samia Suluhu Hasan akimkabidhi Mlezi mstaafu wa TGGA zawadi ya saa aliyopewa zawadi na uongozi wa TGGA kwa ajili ya kumbukumbu.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/makamu-wa-rais-mhe-sami-suluhu-hassan.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MHE. SAMI SULUHU HASSAN AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES"
Post a Comment