Loading...
title : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI
link : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza Rais wa Sudan ya Kusini Mhe. Jenerali Taban Deng Gai ambapo mazungumzo yao yalihusu kuendelea kudumisha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
Mazungumzo hayo yamefanyika wakati mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika ukiendelea, jijini Addis Ababa, Ethiopia. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-hassan_4.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA RAIS WA SUDAN YA KUSINI MHE. JENERALI TABAN DENG GAI"
Post a Comment