Loading...

BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE

Loading...
BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE
link : BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE

soma pia


BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE

Mwambawahabari



Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Ally Hapi ameliagiza jeshi la Polisi Kinondoni kumkamata Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa kosa la kutoa kauli za matusi, dhihaka na uchochezi dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi kwa ujumla.


Hapi ameagiza mbunge huyo kukamatwa, kukaa korokoroni kwa saa 48, kuhojiwa na kuchukuliwa hatua nyingine za kisheria kwa maneno aliyoyatoa jana akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya Chadema mtaa wa ufipa. 



Hapi amesema kuwa maneno aliyoyatoa Mdee ni matusi yenye lengo la kuleta uchochezi unaoweza kuhatarisha amani na utulivu.

"Sitamvumilia mwanasiasa yeyote atakayethubutu kutoa kauli za matusi dhidi ya Mh. Rais, au zenye kutaka kuleta uchochezi katika wilaya yangu."

Alisema DC Hapi.


Hivyo makala BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE

yaani makala yote BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/breaking-nyuzzz-dc-hapi-aiagiza-polisi_4.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NYUZZZ...: DC HAPI AIAGIZA POLISI KUMTIA MBARONI MBUNGE HALIMA MDEE"

Post a Comment

Loading...