Loading...

MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS

Loading...
MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS
link : MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS

soma pia


MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS

 Meneja wa mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi. Mwanjaa Sembe, (kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu (TIA), Bi.Demetriz Bayona, baada ya kujiunga na Mfuko huo leo Julai 2, 2017. 

Wananchi wengi waliotembelea banda la Mfuko huo leo, wamejiunga na mpango huo baada ya kupatiwa elimu na faida ambazo mwanachama anapata endapo atajiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari ambapo kujiunga hakuna masharti isipokuwa kwa mtu yeyote mwenye kazi ya kumuingizia kipato na atatakiwa kuchangia au kuweka akiba ya kima cha chini cha shilingi elfu 10 kila mwezi. 

Miongoni mwa faifa ambazo mwanachama aliyejiunga na mpango huo ni pamoja na kujipatia bima ya afya, itakayomuwezesha kupata matibabu yeye mwanachama na wategemezi wake watatu. Lakini pia kujipatia mafao mablimbali yakiwemo fao la elimu, lakini pia mkopo wa nyumba na viwanja kutegemea na akiba ambayo mwanachama amejiwekea.
 Afisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA), (kulia), akifuatilia jinsi maafisa wa PSPF wanavyotoa huduma kwa wanachama na wananchi wanaotembela banda la Mfuko huo. SSRA imeweka maafisa wake kila banda la linalotoa huduma ya hifadhi ya Jamii ili kusikiliza malalamiko ya wanachama husika wa Mfuko hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio, (kushoto), akikaribishwa na Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bi. Coletha Mnyamani alipotembelea banda hilo leo Julai 2, 2017.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS

yaani makala yote MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-2017-wengi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAONESHO YA SABASABA 2017: WENGI WAJIUNGA NA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSS"

Post a Comment

Loading...