Loading...

MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI

Loading...
MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI
link : MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI

soma pia


MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimuangalia mhamiaji haramu katika dirisha dogo la chumba cha mahabusu, Kituo cha Polisi Pangani mkoani Tanga. Mhamiaji huyo kutoka nchini Somalia alikamatwa wilayani Pangani katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Masauni akiwa mjini Tanga aliwaagiza Maafisa Uhamiaji na Polisi kuongeza kasi ya kutafuta mizizi ya wahamiaji haramu mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa Kituo Polisi mjini Pangani, Christina Musyani. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Christina Musyani wakati alipokua anamfafanulia masuala ya ulinzi na usalama wilayani humo. Masauni alikikagua kituo hicho pamoja na nyumba za askari polisi ambazo zipo katika hali mbaya zaidi kutokana na kutofanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia) akimsikiliza Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Christina Musyani alipokuwa anamuonyesha moja ya nyumba ambazo zipo katika hali mbaya zaidi kutokana na kutofanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akitoka kulikagua Gereza la Wilaya ya Pangani mkoani Tanga. Masauni pia alizungumza na mahabusu wa Gereza hilo kwa kusikiliza kero zao na kuzitolea maamuzi hapo hapo na baadhi kuahidi kuzifanyia kazi kwa haraka zaidi. Kwa nyuma ni Mkuu wa Gereza hilo, Elishinikizo Moshi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI

yaani makala yote MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/masauni-aamuru-ujenzi-gereza-muheza_15.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASAUNI AAMURU UJENZI GEREZA MUHEZA UANZE MARA MOJA, AKAGUA OFISI, NYUMBA ZA TAASISI ZAKE WILAYANI PANGANI"

Post a Comment

Loading...