Loading...
title : Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa
link : Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa
Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitambulisha mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka, kulia ni mmoja ya wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Zainabu Mtiga.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka wakati akitambulisha mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka akielekeza waandishi wa habari (hawapo pichani) namna mashine inavozibadili takataka na kuwa nishati ya mkaa mbadala.
Hivyo makala Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa
yaani makala yote Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mashine-ya-kuzalisha-mkaa-mbadala.html
0 Response to "Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa"
Post a Comment