Loading...

UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR.

Loading...
UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR.
link : UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR.

soma pia


UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia wakibadilishana hati baada ya kitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Postdam Ujarumani wakionesha hati walizotiliana saini kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.



Hivyo makala UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR.

yaani makala yote UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/utiliaji-saini-mkataba-wa-ushirikiano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR."

Post a Comment

Loading...