Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA.
link : MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA.
MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akifungua rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Muonekano wa sehemu ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kikiwa katika hali ya usafi uliosifiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour wakati akifungua rasmi kituo hcho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida wakisubiria kupanda basi ambalo lilifungua rasmi huduma ya usafiri wa mabasi katika kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na Mkimbiza Mwenge kitaifa Fredrick Ndahani wakiwa ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akishuka kutoka ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-katika-picha-namna-kituo-cha.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA."
Post a Comment