Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017.
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017.
Mwambawahabari
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na umiliki wa maliasili wa mwaka 2017 katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa hamsini na nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuchaguliwa Mhe.Salma Kikwete katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.Eng James Mbatia katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3,2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017."
Post a Comment