Loading...

Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende

Loading...
Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende
link : Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende

soma pia


Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende



MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akitoa salamu zake wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Seth Katende leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akitoa salamu zake kwa famila, ndugu na jamaa.

Baba wa marehemu, Mzee Katende (wa kwanza kushoto) akiwa ndugu zake marehemu wakiaga mwili wa Marehemu Seth Katende leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.


Mke pamoja na mtoto wa marehemu wakiaga mwili


MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende jijini Dar

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende  jijini Dar

Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi waClouds Media Group, Ruge Mutahaba(mwenye shati nyeusi) akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende jijini Dar

Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash akiaga mwili



Mtangazaji wa EFM, Mpoki 'Mwarabu wa Dubai'( katikati) akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuanga mwili wa Marehemu Seth Katende  jijini Dar








Sehemu ya Waombolezaji wakiwa katika Viwanja Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.







Baba wa marehemu, Mzee Katende akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuaga mwili wa Mwanae Marehemu Seth Katende  kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar














Jeneza lenye mwili wa Marehemu Seth Katende ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni, likiwa katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.


Hivyo makala Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende

yaani makala yote Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-safari-ya-mwisho-ya-mtangazaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Safari ya Mwisho ya Mtangazaji wa Redio 93.7 EFM, Seth Katende"

Post a Comment

Loading...