Loading...

Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina

Loading...
Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina
link : Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina

soma pia


Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom,alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.

Karibu uketi: Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom,alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipiga picah maalum na Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa mkono Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, baada ya kumfurahisha jambo wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.

Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa CCm Abdulrahman Kinana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.



Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga picha maalum na Blozi wa Algeria hapa nchini, Saad Belabed

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga picha maalum na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

Maofisa katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, Suleiman Serera (kushoto) na Cuthbert Midala wakichukua nukuu wakati wa mazungumzo ya Katibu Mkuu na Balozi wa Palestina

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. PICHA BASHIR NKOROMO


Hivyo makala Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina

yaani makala yote Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-siasa-kinana-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio /Siasa : Kinana Akutana na Mabalozi wa Marekani , Algeria na Palestina"

Post a Comment

Loading...