Loading...
title : MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND
link : MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND
MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND
Msanii wa Bongo flava na mfalme wa miduara AT, akiongelea utamaduni wa kiswahili na raha za pwani kwenye jopo la kongamano la raha za pwani kwa lengo la kudumisha na kutangaza utamaduni wa Mswahili na lugha yake.na baadae kuonesha onesho kali ya nyimbo zake zilizotamba na zinazoendelea kutamba kwenye anga ya bongo na kimataifa. Kongamano hilo linaloambatana na tamasha la Mswahili na lugha yake huandaliwa na Swahili Media Network na hufanyika mara moja kila mwezi. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
Msanii wa Bongo flava mfalme wa miduara AT akichengua mashabiki wake kwa wimbo mmoja wapo wa mduara.
Msanii wa Bongo flava mfalme wa miduara AT usipime ni balaa
Msanii wa Bongo Flava Mr. Tz akitoa buradani kwenye jopo la kongamano la raha za pwani lililofanyika siku ya Jumamosi July 22, 2017 Hampton Inn, College Park, Maryland.
Msanii wa Bongo Flava Mr. Tz akitoa buradani kwenye jopo la kongamano la raha za pwani.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND
yaani makala yote MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/msanii-bongo-flava-at-mfalme-wa-miduara.html
0 Response to "MSANII BONGO FLAVA AT MFALME WA MIDUARA BONGO, MR TZ WANOGESHA RAHA ZA PWANI COLLEGE PARK, MARYLAND"
Post a Comment