Loading...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO.

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO.
link : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO.

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO.

Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi mbalimbali wa mji wa Nguruka mapema leo asubuhi,waliojitokeza kumshuhudia Rais akiweka jiwe la msingi la Mradi wa maji.Rais Magufuli ametekeleza ahadi yake ya kuupatia maji mji wa Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma,ambapo pia ameweka jiwe la msingi la mradi huo unaotarajia kukamilika Desemba 31, 2017,ukamilishwaji wa mradi huo utamaliza tatizo la maji la Mji wa Nguruka.
 Rais Dkt Magufuli akipeana mkono na Mbunge wa jimbo la Kasulu Mjini,Mh Daniel Nsanzugwako mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Mradi mkubwa wa maji mapema leo mjini Nguruka mkoni Kigoma.Rais Magufuli ametekeleza ahadi yake ya kuupatia maji mji wa Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma,na kuwamba Mradi huo unatarajia kukamilika Desemba 31,2017,kukamilika kwa mradi huo utamaliza tatizo la maji la Mji wa Nguruka.
 Rais Dkt Magufuli akitoka kukagua mradi huo wa maji unaotarajia kukamilika Desemba 31,2017.kukamilika kwa mradi huo utamaliza tatizo la maji la Mji wa Nguruka.Rais Dkt Magufuli yuko njiani akielekea mkoani Tabora,ambapo atasimama Wilayani Kaliua na kuzindua barabara ya Kaliua hadi Kazilambwa yenye urefu wa kilometa 50.



Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO.

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-azindua-mradi-mkubwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA LEO."

Post a Comment

Loading...