Loading...

Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Loading...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.
link : Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

soma pia


Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimsikiliza Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akizungumza na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimkabidhi Jarida la Nchi yetu, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania kushika nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas akimuonyesha Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa ofisi ya Msajili wa Magazeti wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania kushika nafasi hiyo





Hivyo makala Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

yaani makala yote Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/msemaji-wa-jeshi-la-polisi-azungumza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo."

Post a Comment

Loading...