Loading...
title : KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO
link : KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO
KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa mkono Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, baada ya kumfurahisha jambo wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.
Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa CCm Abdulrahman Kinana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Hivyo makala KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO
yaani makala yote KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/kinana-akutana-na-mabalozi-wa-marekani.html
0 Response to "KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA, LEO"
Post a Comment