Loading...
title : NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI
link : NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI
NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumzana wanahabari katikati ya Mto Msimbazi chini ya Daraja la jangwani baada ya kupima kiwango cha hewa ya Oxygen katika maji ya mto msimbazi na sampuli za maji hayo kupelekwa katika katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali kwa vipimo zaidi, ili kujua kama maji hayo yana madhara kwabinadamu, mazingira na viumbe hai wengine. 
Mto Msimbazi unavyoonekana 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akiangalia kiasi cha hewa ya Oxygen kilichopo katika maji ya Mto msimbazi akisaidiwa na wataalamu kutoka katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali hawapo pichani, katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Evelyn Mkoko

Hivyo makala NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-luhaga-mpina-afanya-ziara.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI"
Post a Comment