Loading...

NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE

Loading...
NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE
link : NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akisisitiza jambo wakati wa ziara yake  ya kukagua hatua iliyofikiwa katika mradi wa ukarabati  na upanuzi wa mtambo wa maji chalinze na na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki yakuhifadhia maji. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Chalinze (CHALIWASA)Mhandisi Christer Mchomba na kushoto ni Msimamizi wa mradi huo kutoka kampuni ya WAPCO inayotekeleza mradi huo.
Mafundi wakiendelea na Kazi ya ujenzi wa matanki ya kuhifadhi na kusambaza maji katika Jimbo la Chalinze.
Baadhi ya mitambo ikiwa katika moja ya maeneo unakotekelezwa mradi  huo utakaonufaisha wakazi wa Jimbo la chalinze na sehemu ya Wilaya ya Handeni.
Sehemu ya mabomba yakiwa katika moja ya maeneo unakotekelezwa mradi huo.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe (wapili kushoto) akioneshwa ramani ya mradi huo na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wake wakati wa ziara yake  ya kukagua mradi huo  wa ukarabati  na upanuzi wa mtambo wa maji chalinze na na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki yakuhifadhia maji.

(Picha zote na Frank Mvungi-MAELEZO)


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-wa-maji-afanya-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE"

Post a Comment

Loading...