Loading...
title : RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA
link : RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA
RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA
Mwenyekiti wa Alat Taifa ,Gulamhafeez Abubakar Mukadam akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Mkutano mkuu wa Alat Taifa unaotarajia kufanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao, ambao Rais Dkt John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi ,kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Alat ,Stephene Mhapa akifuatiwa na Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga
Kaimu Katibu Mkuu wa -Alat Abdallah Shaban akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo juu ya mkutano Mkuu wa Taifa wa Alat
Makamu Mwenyekiti wa Alat ,Stephene Mhapa akisisitiza jambo kwa Wandishi wa habari juu mkutano mkuu wa taifa utakao fanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao Mwaka huu.
Hivyo makala RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-mgeni-rasmi-mkutano-mkuu.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA"
Post a Comment