Loading...

NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI

Loading...
NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI
link : NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI

soma pia


NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Januari Makamba (MB) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) alipokuwa akitoa uamuzi wa kutengua uteuzi wa wajumbe saba wa Bodi ya Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) na uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NEMC leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustine Kamuzola. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Januari Makamba (MB) akifafanua jambo mbele ya nwaandishi wa habari (hawapo pichani) akitangaza uamuzi wa kutengua uteuzi wa wajumbe saba wa Bodi ya Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) pamoja na uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NEMC ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustine Kamuzola na kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati wa mkutano wao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Januari Makamba (MB) alipokuwa akitangaza uamuzi wa kusitisha uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) na wajumbe saba wa Bodi ya baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam.Picha na: Frank Shija - MAELEZO.


Hivyo makala NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI

yaani makala yote NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/nemc-yavunjwa-ikiwemo-sambamba-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEMC YAVUNJWA IKIWEMO SAMBAMBA NA MABADILIKO YA UONGOZI"

Post a Comment

Loading...