Loading...
title : NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni
link : NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni
NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni
Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi (kulia) akikabidhi moja ya vifaa vilivyotolewa na NMB kwa wizara ya afya Zanzibar kwaajili ya kambi ya kipindupindu iliyoko Chumbuni nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
Vifaa hivyo vyenye thamani ya sh.milioni 5 ni pamoja na viti (wheel chair) viatu( gumboot) gloves na vitanda vya kubebea wagonjwa.
Vifaa vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Zanzibar, Marina Joel Thomas na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Zanzibar, Aboud Hassan Serenge (kushoto)
Picha na Martin Kabemba.
Hivyo makala NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni
yaani makala yote NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/nmb-zanzibar-yakabidhi-vifaa-kwa-kambi.html
0 Response to "NMB Zanzibar yakabidhi vifaa kwa kambi ya kipindupindu, Chumbuni"
Post a Comment