Loading...
title : OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA
link : OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA
OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Afisa Takwimu kutoka Wakala wa Usalama na Afya Kazini (OSHA) akimsaidia mmoja wa wakaazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wamefika katika banda hilo kujifunza namna Wakala huo unavyofanya kazi
Mkaguzi Uslama wa Umeme kutoka OSHA Bi. Maria Ndaskoy akimuelewesha mmoja wa wadau wa Mamlaka hiyo waliofika katika Banda la Maonesho Sabasaba kulipia masula mbalimbali
Mkaguzi wa Mazingira Mahala pa kazi kutoka OSHA akitoa elimu nmana ya watu wanavyotakiwa kukaa katika maeneo ya viwandani wakiwa salama na kuwaeleza kazi za OSHA
Mkaguzi wa Afya kutoka OSHA Dkt Edwin Senguo akitoa huduma ya upimaji Macho kwa wadau waliofika katika banda hilo
Hivyo makala OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/osha-wajikita-katika-kutoa-elimu-katika.html
0 Response to "OSHA WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment