Loading...
title : PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA
link : PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA
PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde akitoa neno kwa Meya Mpya na kwa Madiwani wa Manispaa ya Dodoma wakati wa uchaguzi wa Meya wa Manispaa hiyo Julai 19 mwaka huu.
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akiwaonesha wajumbe wa Baraza la Madiwani Karatasi ya kura wakati wa zoezi la kuhesabu kura kwa uwazi wakati wa uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Dodoma.
Wadau mbalimbali wakifuatilia zoezo la uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Dodoma uliofanyika Julai 19 mwaka huu ambapo Profesa Davis Mwamfupe wa CCM aliibuka Mshindi.
Madiwani waliogombea nafasi ya Meya wa Manispaa ya Dodoma wakitambulishwa mbele ya wajumbe. Kushoto ni Mgombea wa CCM Profesa Davis Mwamfupe na Kulia ni Mgombea wa CHADEMA Yona Kusaja.
Hivyo makala PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA
yaani makala yote PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/profesa-mwamfupe-meya-mpya-manispaa-ya.html
0 Response to "PROFESA MWAMFUPE MEYA MPYA MANISPAA YA DODOMA"
Post a Comment