Loading...
title : SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI
link : SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI
SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI
Simba imemsajili beki wa kiraka, Erasto Nyoni kwa mkataba wa miaka miwili.
Kitu kizuri kwa Nyoni ni uwezo wake wa kucheza namba zote nne za ulinzi.
Pia anaweza kucheza nafasi ya kiungo mkabaji kwa ufasaha hali inayomfanya kuwa na nafasi kubwa ya kucheza.
Nyoni alirejea nchini na kujiunga na Azam FC akitokea Vital'O ya Burundi.
Hivyo makala SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI
yaani makala yote SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/simba-fasta-yamalizana-na-erasto-nyoni.html
0 Response to "SIMBA FASTA, YAMALIZANA NA ERASTO NYONI KWA MIAKA MIWILI"
Post a Comment