Loading...

RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR

Loading...
RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR
link : RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR

soma pia


RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu MJini Unguja leo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar(ZURA) Ng,Haji Kali alipokuwa akitoa mchango na kuelezea maendeleo waliofikia katika Mamlaka hiyo walipokuwa na Kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa Mwenyekiti wa Kikao hicho kilichofanyuika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/07/2017.
 


Hivyo makala RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR

yaani makala yote RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-azungumza-na-bodi-ya-zura-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS AZUNGUMZA NA BODI YA (ZURA) ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...