Loading...

Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda

Loading...
Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda
link : Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda

soma pia


Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda





Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda kwa kutembelea kongano la ngozi na bidhaa za ngozi katika eneo la zuzu Mkoani Dodoma.


Aidha Mhe. Waziri amewaagiza watendaji wa wizara kufanya juhudi za haraka za uendelezwaji wa eneo hilo kwa hakuna sababu ya kuchelewa ambapo mhe. Naibu waziri ametoa muda wa miaka miwili hilo eneo liwe limeanza kuwekewa miundombinu na huduma nyingine.


Pia mhe. Waziri ametembelea eneo la SIDO lililotengwa kwa ajili ya kongano la alizeti ambapo pia amewaagiza watendaji kufanya juhudi za haraka kuharakisha mchakato wa uendelezwaji wa eneo hilo, Mhe. Naibu waziri alihitimisha ziara yake kwa kutembelea ofisi za SIDO na kutembelea ajasiliamali walioko chini ya SIDO na kujionea shughuli za ujasiriamali zinazofanywa katika eneo hilo.


Mhe. Naibu waziri ataendelea na ziara ya kutembelea taasisi zilizo chini ya wizara kuanzia wiki ijayo na kujionea utendaji wa kila taasisi.

Darasa maalumu la mafunzo ya uzalishaji na utengezaji wa bidhaa za ngozi lililopo Kizota, mkoani Dodoma.

Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akishuhudia bidhaa mbalimbali zinazotengezwa na wanafunzi wanaojifunza utengezaji wa bidhaa za ngozi pembeni ni ndugu. Stephano Ndunguru, meneja wa mafunzo SIDO, Dodoma.

baadhi ya bidhaa za ngozi zinazotengezwa na wanafunji wanaojifunza utengezaji wa bidhaa za ngozi.

Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akizungumza na watendaji wa SIDO, Dodoma.


Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akiangalia bidhaa zinazotengezwa na wajasiriamali wa SIDO.

baadhi ya bidhaa za wajasiriamali wa SIDO, Dodoma.

Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akichomelea alipowatembelea wajasiriamali wa vyuma SIDO, Dodoma.

Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akikagua eneo maalumu kwa ajili ya kongano la ngozi, Zuzu mkoani Dodoma.


Hivyo makala Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda

yaani makala yote Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/uchumi-injinia-stella-manyanya-afanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uchumi :Injinia Stella Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda"

Post a Comment

Loading...