Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA
RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akifungua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi huo mkubwa wa maji kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Antony Sanga wakati alipoanza ukaguzi wa mradi huo kabla ya kuufungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Maji Eng. Gerson Lwenge wakati akielekea kukagua mradi wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya Ziwa Hamis Tabasamu mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na waandishi wa habari mbalimbali wa mkoani Mwanza ambao walishiriki katika kazi ya ufunguzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-afungua-mradi-mkubwa.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI SENGEREMA MKOANI MWANZA"
Post a Comment