Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali wa Mwaka 2017 kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Walimu na wanafunzi kutoka Sekondari ya Nyangao kutoka Mtama Mkoani Lindi wakiwa Bungeni kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_78.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017."
Post a Comment