Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL
link : RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL
RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL
RAIS Wa Jamuhuri wa Muungano Wa Tanzania Dkt John Magufuli amempongeza aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini ,David Kafulila kwa kujitoa Muhanga kutetea Watanzania kupitia sakata la Escrow(IPTL) na kuonesha uzalendo Mkubwa ambao hawezi kusahaulika katika historia ya Tanzania.
Akizungumza na Wananchi wa Kata ya Nguruka, Katika uzinduzi wa Mradi mkubwa wa Maji uliopo Tarafa ya Nguruka katika Wilayani Uvinza, amesema atakuwa mnafiki akishindwa kumpongeza Kafulila kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kuibua Ubadhilifu uliofanywa na Kampuni ya IPTL ambapo kwasasa suala hilo ameanza kulifanyia kazi na mafanikio yameanza kuonekana.Hii hapa Video yake.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-asema-nchi-inahitaji.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ASEMA NCHI INAHITAJI WAZALENDO, AMPONGEZA KAFULILA KWA IPTL"
Post a Comment