Loading...

Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba.

Loading...
Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba.
link : Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba.

soma pia


Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba,Ndg.Bakar Ali Bakar , akifunguwa semina ya mafunzo juu ya Kanuni za Udhibiti wa matumizi ya Tumbaku , kwa Watendaji wa Wizara ya Afya Pemba na baadhi ya Waandishi wa Wahari wa Vyombo vya Serekali na Binafsi iliofanyika katika ukumbi wa mikutano Uwanja wa Gombani Chakechake Pemba.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar, Dk, Fadhil, akitowa ufafanuzi juu  malengo ya Kanuni ya udhibiti wa matumizi ya Tumbaku kwa watendaji mbali mbali wa Serikali na Vyombo vya habari huko gombani Pemba.
Baadhi ya Watendaji  kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika mafunzo ya Kanuni ya udhibiti wa matumizi ya Tumbaku , huko katika ukumbi wa kiwanja cha Gombani Pemba.

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini  Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba, wakati akifunguwa mafunzo juu ya Kanuni za udhibiti wa matumizi ya Tumbaku huko Gombani Pemba.


Hivyo makala Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba.

yaani makala yote Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/watendaji-wa-serikali-na-waandishi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba."

Post a Comment

Loading...