Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA
RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa sala na Viongozi mbalimbali wa dini kutoka Kanda ya ziwa mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa katikati ya jiji la Mwanza waliokusanyika kumpokea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Wachezaji wa Buhongwa Fc mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono washabiki wa mpira wa miguu wakati akitoka katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-awasili-mkoani-mwanza.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA KUKAGUA UWANJA WA NYAMAGANA"
Post a Comment