Loading...
title : WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA
link : WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA
WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA
WANANCHI wa Kata Magawa wilayani Mkuranga wamelalamikia kuingia kwa wanawake wanaouza miili yao (Madada poa) kwa kutumia mazao.
Wananchi hao wamesema ujio wa wanawake ni katika kipindi cha mauzo ya msimu wa Korosho na Nazi ndio wanaingia na kuanza kufanya biashara ya ngono.
Wamesema wanawake hao wanachukua debe moja ya kurosho kwa wanaume kwa ajili ya kufanya ngono au kutoa Nazi 10 hadi 15.
Akizungumza na Michuzi Blog Mariam Hamis amesema kuwa ujio wanawake hao imekuwa kero katika ndoa zao.
Amesema kuwa serikali ya wilaya isipowatoa watakwenda wenyewe kupambana nao hata kwa mapanga.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga Juma Abeid amesema kuwa suala hilo kwa Mkuu wa Wilaya.
Abeid amesema amesema ujio wadada hao ni changamoto katika kuambukizana na magonjwa.
Picha na Emmaniel Massaka wa Global ya jamii)
Wakazii wa kata ya Magawa Wilaya ya mkuranga mkoa Pwani wakizungumza na michuzi blog juu ya ambapo wameiomba serikali iwasaidie kuondoa dadapoa abapo huwa napiga gambi kilaunapofika msimu wa wa korosho.
Hivyo makala WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA
yaani makala yote WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/wananchi-wa-mkuranga-walalamikia.html
0 Response to "WANANCHI WA MKURANGA WALALAMIKIA KUINGIA KWA MADADA POA"
Post a Comment