Loading...

Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu

Loading...
Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu
link : Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu

soma pia


Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu


band5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaotaka sifa za kisiasa kwa kushabikia waovu hapa nchini.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam Rais amesema kuna watu wanashabikia maovu kwa kutoa matamko bila kuyapima madhara yake.

"Niwaombe wanasiasa wanaoshindwa kuzuia midomo yao, wanaosema kuwa hawa watu wameshikiliwa kwa muda mrefu, tunashindwa kujua hata kuna watu kule Marekani walikaa Guantanamo muda mrefu, katika hali hiyo kwanini usifanye watu wafikiri na wewe ni mmoja wao.Msitufanye tukafika huko"

"Kwanini hata siku moja mtu asijitokeze kulaani watu wanaouawa bila hatia kule. Lakini kwa kutaka sifa za kisiasa, mtu anatoka anasema hawa watu wako ndani muda mrefu, kuna ndugu zetu wanakufa kule...nataka polisi mfanye kazi yenu, hawa wanaoropoka waisaidie polisi, msiogope sura, awe na mwendo wa haraka, polepole au kukimbia, mkamateni ili kusudi aisaidie polisi akiwa kule ndani,"amesema Rais John Magufuli na kuongeza;

"Juzi mtu amekamatwa na uniform 5000 za jeshi na inaonekana anahusika na hao walioko ndani, halafu unasema wamekaa muda mrefu, au na wewe ni miongoni mwa walioagiza hizo uniform za jeshi.

"Endeleeni kujenga heshima ya bandari, rushwa iwe ni marufuku, halafu muda pia... mtu akifika hapa akae muda mfupi na aondoke, hata kama anasafirisha pini ifike inapokwenda na sio ipotelee njiani

"Kuna vichwa 13 vya treni vimeshushwa hapa lakini havijulikani ni vya nani, tena inasemekana ni vibovu na TRL wamesema hawajaagiza na wala hawajasaini mkataba wowote.

"Hamkuuliza vya nani baada ya meli kuondoka ndio mnauliza, siku nyingine si watakuja kushusha hata na vifaru au makontena ya sumu?

"Sijui haya mavichwa mtafayanyia nini, lakini hili ni lazima lisemwe ili Watanzania wafahamu. Tutangulize uzalendo wa nchi yetu."


Hivyo makala Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu

yaani makala yote Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-atoa-onyo-kwa-wanasiasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wanasiasa Waropokaji.......Awataka Polisi Wafanye Kazi Bila Kumuogopa Mtu"

Post a Comment

Loading...