Loading...
title : Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani.
link : Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani.
Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani.
Captain Azizi wa Shirika la Bandari Zanzibar akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbumbuku ya Mapinduzi michezani Zanzibar
KOPLO Makame Juma mtaalamu wa kuogelea katika Kikosi cha KMKM Zanzibar akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la KMKM wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi michezani
KOPLO Makame Juma mtaalamu wa kuogelea katika Kikosi cha KMKM Zanzibar akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la KMKM wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi michezani
MKUFUNZI wa Chuo cha Mabaharia Zanzibar cha DANAOS Mbarouk Kheri akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia duniani yalioadhimishwa katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu michezani Zanzibar
Hivyo makala Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani.
yaani makala yote Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/maadhimishi-ya-siku-ya-mabaharia.html
0 Response to "Maadhimishi ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michezani."
Post a Comment