Loading...
title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira.
link : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Unguja leo katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA),[Picha na Ikulu.] 03/07/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji na Nishati Zanzibar (ZAWA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji na Nishati Zanzibar (ZAWA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kilichowashirikisha pia Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira.
Baadhi ya Viongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakiwa katika kikao cha siku moja,kilichozungumzia masuala mbali mbali yanayoihusu taasisi hiyo,ambacho kiliwahusisha Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
(Picha na Ikulu)
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dkshein-akutana-na.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira."
Post a Comment