Loading...
title : RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi
link : RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi
RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi
Mkuu wa Mkoa wa MJINI MAGHARIBI Ayoub Mahmoud Mohammed kwa mujibu wa kifungu cha 8(1) cha sheria namba 8/2014 sheria ya serikali za mitaa ameteua masheha kwa ajili ya shehia 120 za mkoa huo kufuatia mabadiliko makubwa ya maeneo ya utawala yaliyofanywa na serikali toka mwaka 2015.
Kufuatia hatua hiyo, Mkuu huyo ametengua uteuzi wa masheha waliokuwa kazini kwa mujibu wa kifungu cha 9 (a - e) na kuwataka wakabidhi vitendea kazi na vielelezo walivyokuwa wakitumia kwa wakuu wa wilaya zao ili kutoa nafasi kwa masheha wateule wafuatao ambao wataapishwa rasmi Julai 5, 2017 katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar kuendelea na kazi.
Masheha walioteuliwa ni pamoja na:
1. WILAYA YA MJINI
No SHEHIA SHEHA ALIETEULIWA
1 AMANI REHANI ULEDI KHAMIS
2 KWA WAZEE KHALFAN SALUM SHOMARI.
3 KILIMAHEWEJUU DAUDI OMAR ABDUL
4 KILIMAHEWA BONDENI MLEKWA ALI MAKAME
5 CHUMBUNI HASSAN JUMA JUMA
6 KARAKANA BAKARI MAKAME OMAR
7 BANKO** JUMA MAKAME KOMBO
8 MASUMBANI** MWADINI MUSSA MWADINI
9 MWEMBE MAKUMBI SALEH MOH’D JUMA
10 MARUHUBI** ABDI MNGWALI USSI
11 JANG'OMBE KHAMIS AHMADA SALUM
12 URUSI MWINYI KHAMIS MWINJUMA
13 KWA ALINATU SALUM SHAABAN MZEE
14 KIDONGO CHEKUNDU SALUM OTHMAN SHAMTE
15 MATARUMBETA MOH’D MSHENGA
16 MIEMBENI HAJI SHOMAR HAJI
17 MWEMBE LADU KHAMIS OMAR
18 RAHALEO MWANAHERI SULTAN MAHMOUD
19 MITIULAYA** JUMA MOHAMMED JUMA
20 MWEMBESHAURI ABDALLA ALI ABDALLA
21 KIKWAJUNIJUU HAJATEULIWA
22 KISIMA MAJONGOO ALI KHAMIS MAKAME
23 KIKWAJUNI BONDENI RUZUNA ALI DAUDI
24 MNAZI MMOJA** MOH’D JUMA MUGHERY
25 KISIWANDUI ABASI RAJAB KIMOTO
26 KWA ALIMSHA SHAFI MOH’D ABDALLA
27 KWAHANI MACHANO MWADINI OMAR
28 MIKUNGUNI MAKAME KHATIBU HASSAN
29 MUUNGANO KITWANA MUSTAFA MAKAME
30 SEBLENI MOHAMED MAULID MUSSA
31 KWA MTIPURA AMEIR SULEIMA KHAMIS
32 MBORIBORINI** MZEE HAJI MUSSA
33 MKELE ALI SILIMA SHAURI
34 MAPINDUZI** SHARIFA ABEID KHAMIS
35 SHAURIMOYO KOMBO DENGE KITIBA
36 SAATENI** HUSSEIN HAMZA NYANGE
37 MAGOMENI HASSAN ALI HASSAN
38 MEYA MOSSI KHAMIS YUSSUF
39 NYERERE HAMDU SHAKA HAMDU
40 KWA MTUMWAJENI** RAJAB ALI NGAUCHWA
41 SOGEA SHABAAN KHAMIS JUMA
42 GULIONI HAMIMU ISSA MAKAME
43 MAKADARA DUCHI FOUM MAGOMA
44 VIKOKOTONI ALI KHAMIS HAJI
45 MLANDEGE NASSOR M. JUMA
46 MWEMBETANGA RAMADHAN OMAR IBRAHIM
47 MALINDI HIMID OMAR KHAMIS
48 MCHANGANI NASSIR M. ALI
49 MKUNAZINI FUADI MOHAMMED HUSSEIN
50 KIPONDA HAMZA MOHAMMED KHAMIS
51 SHANGANI HATIBU MWINYI SIMAI
52 KILIMANI KHALID ALI KOMBO
53 MIGOMBANI AKAMA OMAR MASHANGO
54 MPENDAE SULEIMAN ALI MAKUU
55 KWA BITIAMRANI** ALVIS VICTOR LAUNDA
2. WILAYA YA MAGHARIBI 'A'
1 KIBWENI SUBIRA HAJI YAHYA
2 KWAGOA HASSAN RAJAB BAKARI
3 MWANYANYA ALI HAJI ALI
4 MTONI AME HAJI AME
5 SHARIFU MSA MAKAME MOH’D KHALFAN
6 KIJICHI SIMBA ALI MAKAME
7 MBUZINI NDAGULA HASSAN JUMA
8 BUBUBU SWELUM ALI JUMA
9 CHEMCHEM** RASSHID JADI RASHID
10 DOLE HAMDU JUMA MAJENGO
11 KIZIMBANI MARYAM SAID
12 CHUINI JUMA MOH'D KHATIB
13 KIHINANI RAJAB DADI RAJAB
14 KIKAANGONI** OMAR JUMA HAJI MPYA ME
15 KAMA KISA FARAHANI
16 MFENESINI SHABAAN ABDALLA SULEIMAN
17 MWAKAJE ASHA ALI MOHAMMED
18 BUBWISUDI ROBART MASHIBIYA NGEDERE
19 MTOPEPO ISSA AHMADA HIJA
20 MUNDULI** HASSAN MASOUD HASSAN
21 MTONI KIDATU MUKI MAKAME USSI
22 MTONI CHEMCHEM** HASSAN KHAMIS MACHANO
23 KIANGA JUMA ISSA JUMA
24 MASINGINI** TAKDINI ABDULHAMID JUMA
25 MWERA TATU JUMA RUBISHA
26 MWEMBEMCHOMEKE** ALI HAJI NEMSHI
27 MTOFAANI SALMA OMAR IBRAHIM
28 MCHIKICHINI** KIJAKAZI FERUZI KHAMIS
29 HAWAII** MWADINI HAJI JONGO
30 WELEZO MO'HD AMOUR KHAMIS
31 UHOLANZI** ISMAILI JUMA HASSAN
3. WILAYA YA MAGHARIBI B
No SHEHIA SHEHA ALIETEULIWA
1 FUMBA MOHD SULEIMA MOHD
2 BWELEO MATAKA MAKAME MATAKA
3 DIMANI KHATIBU AME BARAKA
4 NYAMANZI ISSA ABDALLA ALI
5 KOMBENI ULEDI KHAMIS KHAMIS
6 MAUNGANI KHAMIS MZEE MWINSHEHE
7 UWANDANI** JUMA MUSSA JUMA
8 KIBONDENI IDDI ABDALLA HAJI
9 FUONI KIPUNGANI** RAMADHAN MWADINI KHATIB
10 FUONI MIGOMBANI** OMAR SALUM ALI
11 MAMBOSASA** ASIA OMAR MOHAMMED
12 CHUNGA** KARUME ALI MOHAMMED
13 KIEMBESAMAKI MAULID ALI SALIM MPYA ME
14 MBWENI HASSAN M. MATAKA
15 MOMBASA HUSSEIN ABDULRAHMAN YUSSUF
16 MICHUNGWANI** FAUZIA OMAR MAHAWI
17 KWA MCHINA** ZAMZAM RIJALI ALI
18 CHUKWANI SULEIMAN MOH’D MWINYI
19 SHAKANI MWANAISHA KHAMIS RASHAD
20 KISAUNI HIJA SULEIMAN OTHMAN
21 TOMONDO MOH’D OMAR SAID
22 MAGOGONI ABDULWAHID MOHAMMED AHMED
23 JITIMAI** RASHID MWADINI OMAR
24 SOKONI** KOMBO ALI AMEIR
25 MIKARAFUUNI** HAJI UZIA VUAI
26 MWANAKWEREKWE AMAN AYOUB MAKAME
27 MWEMBEMAJOGOO** MWANAHAWA HAJI JUMA
28 MNARANI** RAMADHAN ABDALL RAJAB
29 KINUNI RAMADHAN KHAMIS MAHONGE
30 PANGAWE ABDALLA JUMA MMTUMWENI
31 MELINNE NOUMAN MAULID MPONDO
32 TAVETA** MWITA SULEIMAN ZISI
33 UZI (Meli nne) ** YUSSUF MOHD MRISHO
34 KIJITO UPELE JUMA KASSIM CHANDE
NB: ** NI SHEHIA MPYA ZILIZOANZISWA KWA MARA YA KWANZA.
Hivyo makala RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi
yaani makala yote RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rc-ayoub-ateua-masheha-watakaosimamia.html
0 Response to "RC Ayoub ateua Masheha watakaosimamia Mkoa wa Mjini Magharibi"
Post a Comment