Loading...

WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI

Loading...
WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI
link : WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI

soma pia


WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI

Waziri Ummy Mwalimu akihutubia kwenye mkutano huo ambapo aliwasisitiza watoa huduma za afya kote nchini kuweka malengo ya kuwagundua wahisiwa wote takribani laki moja ambao hawajafikiwa ili kuweza kuwakinga watanzania wasipate maambukizi ya kifua kikuu (TB).
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy mwalimu akibadilishana mawazo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohamad Bakari Kambi(kushoto) na Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma dkt. Beatrice Motayoba (kulia) kabla ya Ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Kilimani Landmark Mjini Dodoma
Baadhi ya waratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma toka Mikoa mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Mhe.Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(hayupo pichani)
Mwakilishi wa Mfuko wa Fedha wa Dunia (Global Fund ) toka Geneva dkt.Osamu Kunii akiongea na waratibu walioshiriki mkutano huo ambapo alisema Tanzania ni nchi ya pili kwa kupata ufadhili mkubwa katika Bara la Afrika ikitangaliwa na Nigeria
Waziri Ummy Mwalimu akifurahia jambo na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani nchini Tanzania Dkt. Richard Banda (kulia) wakati wa mkutano huo,kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof.Kambi



Hivyo makala WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI

yaani makala yote WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-ummy-afungua-mkutano-wa-kwanza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI UMMY AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KITAIFA WA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA UBORESHAJI WA KASI UA UIBUAJI WA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU NCHINI"

Post a Comment

Loading...