Loading...
title : RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi
link : RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi
RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho M. Gambo awaagiza viongozi wa serikali ya kijiji , kata, tarafa, Halmashauri na wilaya kuhakikisha wanatenga muda wa kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua ikiwa ni sambamba na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria, taratibu na miongozo ili kuleta tija kwa serikali na wananchi, aidha mkuu huyo wa mkoa ameeleza hayo alipokua kwenye ziara yake ya siku tano kwenye halmashauri ya Meru alipokua kwenye kikao chake na watumishi wa Halmshauri makao makuu,maafisa watendaji wa kata,maafisa tarafa pamoja na madiwani.
Sehemu ya Wananchi wa Halmashauri ya Meru Jijini Arusha wakiwa kwenye Mkutano wa pamoja na Mkuu wa Mkoa wao pamoja na watendaji.
Hivyo makala RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi
yaani makala yote RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rc-gambo-awataka-watendaji-kutatua-kero.html
0 Response to "RC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi"
Post a Comment