Loading...

Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania

Loading...
Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania
link : Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania

soma pia


Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania

Timu ya Soka ya Everton inayoshiriki ligi kuu nchini Uiungereza imemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania na kuelezwa kufurahishwa na namna Watanzania walivyoipokea timu hiyo.

Timu ya Everton iliwasili Tanzania siku ya Jumatano wiki hii ambapo jana ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Gor Mahia kutoka Kenya.

“Imekuwa ni uzoefu mpya kwangu kuja hapa (Tanzania) na nina tumaini sasa Makamu wa Rais atakuwa akiishabikia Everton”, alieleza Wayne Rooney kupitia tovuti ya timu hiyo.

Pia katika akaunti yake ya mtandao wa tweeter, Rooney aliwashukuru washabikji wa Tanzania kwa kuiunga mkono Everton katika mchezo wao wa kirafiki dhidi ya timu ya Gor Mahia kutoka Kenya.

“Great start to the pre-season. Special thanks to the fans supporting us in Tanzania”, aliandika Rooney akitoa shukrani za pekee kwa washabiki wa Tanzania. 


Wayne Rooney (wa tatu kushoto) kushoto akiwa na wachezaji wenzake walipokuwa Jijini Dar es Salaam ambapo timu ya Everton ilicheza na timu ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki ulichezwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania

yaani makala yote Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rooney-everton-wafurahia-ukarimu-wa_14.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rooney, Everton Wafurahia Ukarimu wa Watanzania"

Post a Comment

Loading...