Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenanelink :
Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane
Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane
Venance Matinya, Mbeya
 |
Jiji la Mbeya |
SIKU chache baada ya Chama cha Wakulima Tanzania (TASO) kufutiwa usajili na kuzuiwa kujihusisha na makusanyo ya fedha kwa maandalizi ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane) mwaka huu, Serikali imejipanga kukusanya zaidi ya Sh milioni 300 kupitia vyanzo vyake.
Akitoa juzi taarifa ya maandalizi ya maonesho na sherehe za Nanenane mwaka huu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, kwa niaba ya Sekretarieti ya Kanda, Katibu Tawala Msaidizi wa Uchumi na Uzalishaji wa Mkoa, Nyasebwa Chimagu alisema matarajio ni kukusanya Sh 335,543,801.
Alisema makusanyo hayo yanatarajiwa kutokana na vyanzo mbalimbali vikiwamo vya ofisi za mkoa, halmashauri, tozo na ada za ushiriki kutoka mashirika na taasisi za umma na binafsi.
Aliongeza kuwa kati ya hizo, Sh 138,443,801 zitatoka sekretarieti za mikoa na halmashauri, huku Sh 197,100,000 zikitokana na vyanzo vingine kama ada za ushiriki, tozo za viwanja, viingilio na ushuru uwanjani.
Chimagu alisema hali ya makusanyo hadi Julai 6 hairidhishi, kwani ni Sh milioni 35 tu zilizokusanywa kutoka baadhi ya sekretarieti za mikoa na Halmashauri.
Kwa hali hiyo, Mwenyekiti wa Kikao hicho ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa, Amos Makalla aliagiza halmashauri na mikoa yote kuhakikisha inamaliza kutoa michango yao hadi Julai 15.
Alisema ili kukamilisha maandalizi ya maonesho, kinachotakiwa ni fedha hivyo ni vema halmashauri zikajipanga mapema kuruhusu sekretarieti kuandaa sherehe vizuri.
Wakuu wa Mikoa ya Njombe na Ruvuma, Christopher ole Sendeka na Dk Binilith Mahenge walisisitiza washiriki kutoa michango yao mapema ili kufanya maandalizi mapema ikiwa ni pamoja na kujiandaa na maonesho ya kimataifa.
Walisema endapo hadi Julai 15 kutakuwa na halmashauri isiyomaliza madeni yake, itazuiwa kushiriki maonesho ya Nanenane mwaka huu.
Hivyo makala Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane
yaani makala yote Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/serikali-kukusanya-milioni-300-za.html
Related Posts :
VIGUTA YAWAPIGA TAFU VIJANA PIKIPIKI 15 KIBAHA
Meneja wa Vicoba group union Tanzania (VIGUTA)Mkoani Pwani ambae pia operesheni Meneja Taifa ,Iddi Kanyallu akimkabidhi mwenyekiti wa CHAMA… Read More...
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Hatua h… Read More...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la korosho. “Hatutamuacha mtu yeyote atakayesababisha wakulima kuchelewa kulipwa fedha zao. Tutawakamata wote na kuwachukulia hatua stahiki.” Ametoa kauli hiyo jana (Jumapili, Novemba 5, 2017) alipozungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mbekenyera wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Waziri Mkuu alisema wakulima hao ni lazima walipwe fedha zao kwa wakati na asitokee mtu wa kuzitamani fedha hizo. “Mkulima amelima mikorosho mwenyewe, ameokotoa na kukodoa mwenyewe wao wamepewa dhamana ya kuziuza, hivyo wahakikishe wanawapelekea fedha zao na wala wasizitamani.” Pia Waziri Mkuu amewataka viongozi wa vyama vya Ushirika vya Msingi wahakikishe mkulima hakosi sh. 3,500 katika kilo moja ya korosho atakayoiuza baada ya kukatwa michango. Alisema bei ya juu ya korosho katika minada ya mkoa wa Lindi sh. ni 3,970 na ya chini sh. 3,800. “Vyovyote itakavyokuwa mkulima hawezi kukosa sh. 3,500, viongozi wa AMCOS mnisikie.” Waziri Mkuu alisema hatua hiyo inatokana na kuongezeka kwa bei ya zao la korosho pamoja na kupungua kwa makato ya mkulima ambapo kwa sasa hayazidi sh. 300 katika kilo moja ya korosho.
mwambawahabari
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la koros… Read More...
ALIYEIPAISHA TUSIIME KITAIFA ATAKA KUWA DAKTARI WA MOYO
MWANAFUNZI Ibrahim Shaban wa shule ya Tusiime aliyeibuka mshindi wa kwanza kitaifa kwenye matokeo ya mtihani wa taifa kumaliza elimu ya ms… Read More...
Ankal akiwa na Wadau wa Habari mjini Bukoba mkoani Kagera
Ankal akiwa na Wadau mbalimbali wa habari mjini Bukoba mkoani Kagera,wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya siku nne m… Read More...
0 Response to "Serikali kukusanya milioni 300/- za Nanenane"
Post a Comment