Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congolink :
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Hatua hiyo hata hivyo haijaufurahisha upinzani ambao unataka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.
Uchaguzi ulipangiwa kufanyika mwaka huu chini ya makubaliano yaliyoafikiwa mwaka jana, lakini tume ya uchaguzi imechelewa kuandaa uchaguzi.
Awali, ilikuwa imetangaza kwamba uchaguzi unaweza tu kufanyika mwaka 2019.
Lakini sasa tume hiyo imetangaza kwamba uchaguzi wa rais, wabunge na viongozi wa serikali za majimbo utafanyika mnamo 23 Desemba, 2018.
Hivyo makala Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
yaani makala yote Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tarehe-mpya-ya-uchaguzi-wa-urais.html
Related Posts :
Elimu : Naibu Waziri, William Ole Nasha Ataka Vifaa vyenye thamani ya Sh 14 Bilioni Kufungwa Haraka
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,William Ole Nasha akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya tisa ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)… Read More...
MAGAZETI YA JUMANNE LEO JANUARY 23,2017
Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA
… Read More...
KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO
Kivuko cha serikali cha MV Misungwi, Busisi jijini Mwanza, kikitokea mjini kupeleka wananchi maeneo ya Sengerema, mkoa wa Geita. Kivuko cha… Read More...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za K… Read More...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)… Read More...
0 Response to "Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo"
Post a Comment