Loading...

Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo.

Loading...
Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo.
link : Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo.

soma pia


Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo.


Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

SERIKALI imesema kuwa itapitia mikataba yote katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere pamoja na kufanya mabadiliko ya uongozi huo kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.

Hayo ameyasema leo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa wakati alipotembelea uwanja wa ndege huo baada ya kuwepo kwa taarifa ya wasafiri wakichukua muda mrefu kutoka uwanjani hapo.

Mbarawa amesema kuwa watu wanapoingia kutoka nje ya nchi wanaanza kusoma Tanzania ilivyo ikiwemo na uwanja wan degu kukaa kwa muda mrefu kutokana na mifumo ya watu kushindwa kujipanga.

Amesema kuwa mikataba katika uwanja huo wameingia wale watu waliofanya mikataba hawakuangalia masilahi ya nchi ndio maana mapato yanakuwa kidogo tofauti na ilivyo katika uhalisia.

Aidha amesema kuwa watakaa kikao kimoja kati ya watoa huduma katika uwanja wa mwalimu Julius Nyerere wakiwemo Idara ya Uhamiaji pamoja na benki ambako ndio inafanya watu wakae muda mrefu.

Nae Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Salim Msangi amesema kuwa wanazifanyia kazi changamoto ambazo Wazari amezianisha licha ya kuwa na miundombinu finyu.

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuangalia utoaji huduma katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Salim Msangi akizungumza na waandishi wa habari juu Uboreshaji wa Huduma katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo.
Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akipata maelezo KaimuMkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Josepp Nyahende alipofanya ziara katika uwanja huo leo .
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akipata maelezo Afisa Maidizi wa Ushuru uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Hezron Gibe jinsi wanafanya kazi katika uwanja huo.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akipewa maelezo na watoa huduma Ushuru uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo .


Hivyo makala Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo.

yaani makala yote Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/serikali-kupitia-upya-mikataba-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serikali kupitia upya mikataba ya uwanja wa ndege pamoja na kufumua uongozi uliopo."

Post a Comment

Loading...