Loading...
title : MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR
link : MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR
MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (MB) Mhe. Balozi Amina Salum Ali akizungumza wakati wa kuyafunga maonesho ya Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam leo Katika Viwanja vya JK Nyerere ,Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (MB) Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifurahia zawadi ya begi lililotengenezwa kwa bidhaa za ngozi ya Tanzania.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji (Biashara na uwekezaji) Prof. Adolf Mkenda akizungumza wakati wa hafla ya kufunga maonesho ya Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam Leo Katika Viwanja vya JK Nyerere ,Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bw. Edwin Rutageruka akitoa maelezo mafupi kuhusu maonesho ya Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam.
.Kikundi cha kwaya ya TOT kikitumbuiza wakati wa hafla ya kufunga maonesho ya Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam Leo Katika Viwanja vya JK Nyerere ,Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR
yaani makala yote MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-kimataifa-ya-41-saba-saba.html
0 Response to "MAONESHO YA KIMATAIFA YA 41 (SABA SABA) YAFUNGWA RASMI LEO JIJINI DAR"
Post a Comment