Loading...
title : SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO
link : SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO
SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Kinondon ndg:Said Masanga wakionja bidhaa ya dagaa zinazookwa na wajasilia mali wadogowadogo wilaya ya Ubungo
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akionyeshwa shati la batiki moja ya bidhaa zinazotengenezwa wajasilia mali wadogowadogo wilaya ya Ubungo
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ubungo Leah Mbeke akizungumza
Baadhi ya Vijana walioudhuria Mafunzo ya Ujasilia Mali UVCCM Ubungo
yalio fungulia na Ndg:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka katikUkumbi wa Texaz Manzese
”Viongozi wa UVCCM Wilaya zote nchini fuatilieni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020,Hakikisheni asilimia 5 inayotolewa na kila Halmashauri nchini zinawafikia Vijana”Aliyasema Ndg:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakati akifungua Semina ya Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana wa Wilaya Ya Ubungo Katika Ukumbu wa Texaz Manzese.
Hivyo makala SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO
yaani makala yote SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/shaka-azindua-semina-elekezi-ya.html
0 Response to "SHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO"
Post a Comment