Loading...

SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017

Loading...
SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017
link : SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017

soma pia


SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT)  Brigedia Jenerali Charo Yateri amesema kuwa jitihada na juhudi zinazofanywa na vijana wake ndicho kitu kikubwa kilichopelekea kupata tuzo ya  masuala ya Kilimo na ufugaji.

Tuzo hiyo walikabidhiwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 41 ya Sabasaba yaliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere.

Brigedia Jenerali Yateri alisema kuwa, mbali na kujihusisha na masuala ya ufugaji na kilimo amvapo wana dhana mbalimbali wanazozitumia ikiwemo Kilimo cha umwagiliaji pia wanajihusisha na ufugaji wa samaki kwa njia ya kisasa ya kuwaweka.

Pmaoja na hilo,  SUMA JKT wamejikita zaidi katika utengenezaji wa samani za ndani kama makabati, vitanda, samani za maofisini na vitu mbalimbali pia wanatengeneza nguo mbalimbali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT)  Brigedia Jenerali Charo Yateri akizungumza na Globu ya Jamii mara baada ya kupata tuzo katika masuala ya Kilimo na ufugaji waliyokabidhiwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika ufunguzin wa maadhimisho ya miaka 41 ya Sabasaba yaliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere.

Dhana mbalimbali za Kilimo zinazotumika kwa Kilimo cha Umwagiliaji vinavyotumika na Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), dhana hizo ziliweza kuwekwa wakati wa ufunguzi  maadhimimisho ya miaka 41 ya Sabasaba yaliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere.


 Baadhi ya wananchi wakiangalia Mabwawa ya Samaki yanayotumiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) kwa ajili ya ufugaji ambapo kila tenki moja linachukua samaki 100 wakati wa ufunguzi  maadhimimisho ya miaka 41 ya Sabasaba yaliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere.


Wananchi wakiangalia mabanda ya kuku wanaofugwa na Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) wakati wa ufunguzi  maadhimimisho ya miaka 41 ya Sabasaba yaliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere.
Samani zinazotengenezwa na Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) zikiwa katika banda lao wakati wa ufunguzi  maadhimimisho ya miaka 41 ya Sabasaba yaliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere.



Hivyo makala SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017

yaani makala yote SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/suma-jkt-wanyakua-tuzo-ya-kilimo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SUMA JKT WANYAKUA TUZO YA KILIMO NA UFUGAJI BORA WA MWAKA 2017"

Post a Comment

Loading...