Loading...
title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
link : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameonya kuwa Tanzania sio lango la kupitisha dawa za kulevya na kutaka ulinzi kuimarishwa maeneo ya mipaka ya nchi. https://youtu.be/wSFAF3ciXWE
SIMU.TV: Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Nemeles Mbatia ameuawa kwa mlipuko wa bomu na askari wawili kujeruhiwa kutokana na mgogoro wa kugombania eneo la kuchimba madini ya Tanzanite huko Mererani mkoani Manyara. https://youtu.be/StWgN-Sexck
SIMU.TV: Serikali mkoani Mwanza imewaadhibu vigogo saba ambao wanasadikiwa kusababisha ubadhirifu wa fedha za maendeleo. https://youtu.be/ScIqR1nd0KE
SIMU.TV: Wakandarasi wanaojenga majengo ya chuo cha ualimu Kitangiri kilichopo wilayani Newala mkoani Mtwara wamejikuta wakijenga majengo hayo chini ya usimamizi mkali baada ya kulalamikiwa kuwadharau viongozi wa wilaya hiyo. https://youtu.be/F76JcllS2qA
SIMU.TV: Halmashauri na wakala wa barabara hapa nchini wameagizwa kutekeleza agizo la serikali la kusaidia vikundi mbalimbali vya kijamii kwa kuvipa ajira. https://youtu.be/u7kB-zhpOmw
SIMU.TV: Taasisi ya utafiti na kilimo ya Naliendele mkoani Mtwara imetoa mafunzo ya kilimo cha kisasa cha zao la korosho kwa jeshi la magereza ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo hapa nchini. https://youtu.be/4_l-VFITn7k
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amezindua meli mbili za mizigo katika bandari ya Kiwira ziwa Nyasa wilayani Kyela na kutahadharisha meli hizo kutumika vyema. https://youtu.be/9BwgNuS4y6A
SIMU.TV: Wananchama wa klabu ya soka ya Simba wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza la wadhamini Hamis Kilomoni wamegoma kutohudhuri mkutano mkuu ulioitishwa na viongozi wanaokaimu nafasi za viongozi wa juu kwa kuwa mkutano huo ni batili. https://youtu.be/FAoI5Y1u0IE
SIMU.TV: Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za baiskeli na ngoma za asili mkoani Simiyu august sita. https://youtu.be/ywffnrNWE7U
SIMU.TV: Viane Kundi mkazi wa mjini Iringa amejinyakulia milioni 20 kwenye droo ya bahati na sibu ya BIKO iliyo chezeshwa leo jijini Dar es Salaam. https://youtu.be/Ic4rQJfXE_c
Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/simu-tv-habari-kutoka-televisheni_30.html
0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"
Post a Comment