Loading...
title : TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA
link : TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA
TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Cricket waliotoka katika mashindano ya Dunia ya mchezo huo wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea Dubai ambapo walishiriki mashindano ya Dunia yajulikanayo kama Memon World Cup na kufanikiwa kuchukua nafasi ya tano.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Cricket wakionesha vikombe walivyopata na Medali katika mashindano ya Dunia ya mchezo huo
Viongozi na Wachezaji wa mchezo huo wakiwa wanatoka na mizigo ndani ya uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa JK Nyerere wakitokea nchini Dubai kwenye mashindano ya Dunia ya Mchezo wa Cricket ambapo Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya tano.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA
yaani makala yote TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/timu-ya-taifa-ya-cricket-yarudi-nchini.html
0 Response to "TIMU YA TAIFA YA CRICKET YARUDI NCHINI NA VIKOMBE VIWILI NA MEDALI KUTOKEA DUBAI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA"
Post a Comment