Loading...
title : UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017
link : UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017
UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017
Kamati ya Uchaguzi inachukua fursa hii kuwataarifu Watanzania wote waishio Reading na maeneo ya jirani ya kuwa tutakuwa na *mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading ni siku ya JUMAMOSI TAREHE 29/07/2017 kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi basi unatakiwa kujaza fomu na kuirejesha mapema iwezekanavyo.
Pia kwa wale ambao hawatakuwa na uwezo wa ku download fomu ya kugombea Uongozi, basi mnaomba mwasiliane na sisi ili tuweze kuwatumia hard copy.
Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mwenzako, Fomu zirudishe kwenye email ya Kamati ya uchaguzi kama ilivoahinishwa hapo chini.
Pia kwa ufafanuzi au maswali yoyote yale basi usisite kuwasilaina na kamati ya uchaguzi kwa njia ya barua Pepe tajwa hapa chini.Watanzania wote wanaoishi Reading na maeneo ya jirani mnakaribishwa kuja kuchagua Viongozi wenu.
Tuma maombi yako ya kugombea Uongozi au ufafanuzi kwa barua pepe kwenda
NAFASI ZA KUGOMBEA
NGAZI YA JUU YA UONGOZI
1:Mwenyekiti
2:Makamu Mwenyekiti
3:Katibu
4:Katibu Msaidizi
5:Mtunza Hazina/Mtunza Hazina Msaidizi
WAJUMBE
Kuna nafasi nne za wajumbe ambazo zinatakiwa kujazwa siku hiyo.
UCHAGUZI : 29/07/2017
MUDA: Kuanzia saa Kumi kamili jioni (4.00pm)
UKUMBI
Bridge Hall
Oxford Road
Reading
Berkshire
RG1 7PL
MUDA : 10.00 jioni - 3.30usiku (4.00pm - 9.30pm). Mara baada ya Uchaguzi kutakuwa na Chakula, Vinywaji na Burudani Kidogo. Wasiliana na sisi kwa njia ya email tajwa hapo juu au simu nambari 07402 344004
Umoja ni Nguvu, Pamoja Tunaweza!
Tangazo hili limeletwa kwenu na Kamati ya Uchaguzi TA Reading 2017.
Tanzania Association Reading
WOTE MNAKARIBISHWA
Hivyo makala UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017
yaani makala yote UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/uchaguzi-mkuu-wa-kuwachagua-viongozi.html
0 Response to "UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING JUMAMOSI YA TAREHE 29/07/2017"
Post a Comment