Loading...

UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI

Loading...
UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI
link : UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI

soma pia


UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI

Mwambawahabari


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) amezitaka Taasisi za Serikali kuratibu suala la uhamisho wa watumishi wa umma kwa makini pale inapohitajika kufanya hivyo Ili kuepuka kero na usumbufu kwa watumishi. 


Waziri Kairuki (Mb) amesema hayo leo katika kikao kazi na Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala eneo la Segerea, jijini Dar es Salaam.


Mhe. Kairuki amesema uhamisho lazima ufanyike kwa mtumishi wa umma endapo kukiwa na sababu za msingi sana. “Naomba ieleweke kuwa uhamisho una taratibu zake hivyo kila mwajiri ni mwajiri akazifuata.” Mhe. Kairuki alisisitiza.


Ameongeza kuwa imebainika wapo baadhi ya watumishi wa umma wanawasilisha sababu mbalimbali kwa waajiri kuomba kuhama wakiwa na nia ya kukwepa kukaguliwa sifa zao za elimu. 

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na viongozi na watumishi wa umma wa Segerea alipofanya ziara ya kikazi  ili kupokea maoni, ushauri na kusikiliza kero za watumishi wa umma leo Jijini Dar es Salaam.

  Katibu Tawala wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Edward Mpogolo akiwatambulisha baadhi ya watumishi na viongozi wa Segerea waliohudhuria kikao kazi kilichowakutanisha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) Jijini Dar es Salaam.


 Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mhe. Bonnah Kaluwa akitoa salamu wakati wa kikao kazi na kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), leo Jijini Dar es Salaam.  

 Mkazi wa Segerea, Bw. Juma Kali akiwasilisha hoja maalum wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha watumishi wa umma wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala - Segerea  na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) leo Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI

yaani makala yote UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/uhamisho-wa-watumishi-wa-umma-ufanyike_20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA UFANYIKE KWA MAKINI"

Post a Comment

Loading...