Loading...

Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC

Loading...
Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC
link : Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC

soma pia


Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC

Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo, Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Emmanuel Kolobelo unashiriki  Mkutano wa 36 wa Mawaziri wa Nishati na Maji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), nchini Swaziland.

Mkutano huo uliofunguliwa na Waziri Mkuu wa Swaziland, Dkt. Sibusiso Dlamin umehudhuriwa na nchi mbalimbali ikiwemo  Tanzania, Malawi, Zambia, Zimbabwe, Lesotho, Swaziland, Botswana, Msumbiji, Namibia, Seychelles, Botswana, Madagascar na Mauritius.Mkutano huo umeanza tarehe 8 Julai, 2017 na utamalizika tarehe 11 Julai, 2017.
 Waziri Mkuu wa Swaziland, Dkt. Sibusiso Dlamin akifungua Mkutano wa 36 wa Mawaziri wa Nishati na Maji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika nchini Swaziland.
Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki  mkutano wa 36 wa Mawaziri wa Nishati na Maji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), nchini Swaziland, kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo, Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Emmanuel Kolobelo.


Hivyo makala Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC

yaani makala yote Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/ujumbe-wa-tanzania-washiriki-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ujumbe wa Tanzania washiriki Mkutano wa 36 wa SADC"

Post a Comment

Loading...